Wema awapa Fumbo wanaomshinikiza kuhusu mahusiano na Diamond


Katika hali isiyokuwa ya kawaida msanii Wema Sepetu ameweka picha katika moja ya mitandao ya kijamii ikiwa ni jibu la fumbo kwa wale wote wanaodhani ya kwamba akili yake ipo kwa msanii Diamond kimapenzi.

Kwa Mujibu wa picha hiyo yeye hana mawazo na Diamond bale anawaze Mkwanja tu.

About Unknown

Zanzibar is Our Home Town, lets embrace her and enjoy her fruits while we Last.

Toa Maoni kupitia Face book / Comment Using Using Facebook

No comments:

Leave a Reply


Top