Angalia Picha za Mshindi wa BBA The Chase alipokuwa Nigeria Hivi Karibuni.


Hii si mara ya kwanza kwa mrembo huyo kutia maguu nchini humo, alishawahi kufika huko maeneo ya jimbo la Edo katika mashindano ya Miss University Africa beauty pagean ambapo alishinda nafsi za Miss Photogenic na Miss President’s Choice katika walimbwende 9 alioshindana nao.





About Unknown

Zanzibar is Our Home Town, lets embrace her and enjoy her fruits while we Last.

Toa Maoni kupitia Face book / Comment Using Using Facebook

No comments:

Leave a Reply


Top