Mfanyabiashara wa Nyanya akanyagiwa bidhaa zake na Mdosi.

Katika hali ya kujitafutia riziki na kipato cha kujikimu na maisha haya, mfanyabiashara mmoja amabaye jina lake halikufahamika amejikuta akikanyagiwa bidhaa zake na mmiliki wa gari ya Rav 4 ambaye alikuwa kihitaji kupaki gari lake maeneo ya mtaa wa msimbazi Kariakoo.

Yote ndo changamoto za kujitafutia maisha, kila mtu ana nafasi na makosa yake, unalionaje hili?!

About Unknown

Zanzibar is Our Home Town, lets embrace her and enjoy her fruits while we Last.

Toa Maoni kupitia Face book / Comment Using Using Facebook

No comments:

Leave a Reply


Top