Man U walizimishwa suluhu dakika ya 89.


Delight: Van Persie jumps into the arms of Michael Carrick in celebration at giving United the lead
 Mabingwa watetezi, Manchester United wamelazimishwa sare ya 1-1 Southampton baada ya kuongoza hadi dakika ya 89 Dejan Lovren alipowapokonya tonge mdomoni Uwanja wa Old Trafford.
Kikosi cha David Moyes kilipata bao la kuongoza dakika ya 26 mfungaji Robin van Persie.

Wa,eshindwa kulinda ushindi: Van Persie akishangilia bao lake kwa kumrukia Michael CarrickDelight: Dejan Lovren's 89th minute equaliser earned Southampton a valuable point at Old Trafford
Wakachomoa: Dejan Lovren alisawazisha dakika ya 89

About Unknown

Zanzibar is Our Home Town, lets embrace her and enjoy her fruits while we Last.

Toa Maoni kupitia Face book / Comment Using Using Facebook

No comments:

Leave a Reply


Top