Ray C apagawa na Movies za Kihindi, na yeye anahitaji Mpenzi wa Kihindi



STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila’Ray C’amefunguka kupitia mtandao wa instragram kuwa anahitaji kuwa na boyfriend mwenye asili ya Kihindi kwa sababu wana mapenzi ya ukweli baaya ya kuangalia filamu zao.

Ray C alipost kipande cha filamu hiyo na kuandika…Daaaamn!!!!i want an indian boyfriend right

nowwww!!!So romantic!!!ths movie is crazy......on my own in my Bollywood Room…

About Unknown

Zanzibar is Our Home Town, lets embrace her and enjoy her fruits while we Last.

Toa Maoni kupitia Face book / Comment Using Using Facebook

No comments:

Leave a Reply


Top